
Queens yaichakaza Mlandizi Simba Day
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa kirafiki wa ufunguzi wa
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa kirafiki wa ufunguzi wa
Mageti ya Uwanja wa Benjamin Mkapa yamefunguliwa na tayari mashabiki wetu wameanza kuingia kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la Simba Day. Tazama video hii
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya APR wa kilele cha Simba Day utakuwa mzuri ambao utatupa picha kuelekea msimu ujao
Nahodha wa timu, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema kambi ya Misri ilikuwa bora na wamepata maandalizi mazuri. Zimbwe Jr ameyasema hayo muda mfupi baada
Menejimeti ya Klabu kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation tumetembelea Shule ya Msingi Buguruni Viziwi na kutoa msaada wa vifaa vya Michezo. Meneja Habari
Mchezo wetu wa mwisho wa kirafiki dhidi ya Al-Adalah inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza nchini Saudi Arabia uliopigwa Uwanja wa New Suez Canal umemalizika
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amewaongoza Wanasimba kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya Wiki ya Simba kuelekea kilele cha Simba Day.
Tumefanikiwa kuinasa saini ya kiungo fundi Amina Bilal katika kikosi cha timu yetu ya Simba Queens. Amina ni miongoni mwa wachezaji wenye uzoefu mkubwa
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa New Suez Canal kuikabili Al-Adalah inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Saudia Arabia katika
Mchezo wetu wa kirafiki dhidi ya Telecom FC uliopigwa Uwanja wa Mercure umemaliza kwa kupata ushindi wa mabao 2-1. Mpira ulianza kwa kasi huku