Kiungo mshambuliaji, Rally Bwalya amesema alishangilia kwa staili ya ishara ya kuonyesha saa ya mkononi  akimaanisha imefika hatua ya kupata mafanikio kuanzia …

Kocha Mkuu, Didier Gomez ameweka wazi sababu ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata dhidi ya Mtibwa Sugar kuwa ni kucheza kwa nidhamu …

Kikosi chetu kimeonyesha dhamira ya kutaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichakaza bila huruma Mtibwa Sugar mabao 5-0. Katika …

Kocha Mkuu, Didier Gomez amepanga kikosi ambacho huwa kinaanza  kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, katika mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa …