Chama mchezaji bora mwezi Aprili

Kiungo mshambuliaji, Clatous Chama amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi wa Aprili (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Chama raia wa Zambia amewashinda mlinda mlango Aishi Manula na mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ambao aliingia nao…