
VIDEO: Ahmed awaomba watoto wa Montessori kutuombea Dua Maalum ya ubingwa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba watoto wa Shule ya Montessori kutuombea Dua Maalum itakayotuwezesha kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba watoto wa Shule ya Montessori kutuombea Dua Maalum itakayotuwezesha kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho
Walinzi wetu wa kati wazamani, Fikiri Magoso na George Masatu wamesimulia mchezo wa fainali tuliyocheza mwaka 1993 na jinsi maandalizi ya yalivyokuwa huku wakisema
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema katika miaka ya karibuni tumewahi kufanya maajabu makubwa ya kupindua matokeo ambayo wengi walidhani haitawezekana
Uongozi wa klabu umesema mashabiki 16,000 waliokuwa tayari wamenunua tiketi kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally anaongea na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa pili wa Kombe la
Mchezo wetu wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane uliopigwa Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini
Leo saa nne usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manispaa ya Berkane kuikabili RS Berkane katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali
Leo saa nne usiku kikosi chetu kitashuka katika Manispaa ya Berkane tayari kwa mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Manispaa ya Berkane tayari kwa mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika
Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakuwa mgumu zaidi