
Quiz: Taja mchezaji aliyecheza mechi nyingi dhidi ya Al Ahly
Kesho saa tano usiku tutacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Cairo International nchini

Kesho saa tano usiku tutacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Cairo International nchini

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema tutaingia katika mchezo wa kesho wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly

Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Cairo International usiku huu uwanja ambao tutautumia katika mchezo wetu wa marudiano wa robo fainali ya Ligi

Kikosi chetu kimeondoka alfajiri kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa

Kikosi chetu kitaondoka alfajiri kuelekea nchini Misri tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa

Msafara wa takribani watu 50 mpaka 60 utaondoka kesho saa 11 alfajiri kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa Ijumaa wa marudiano wa robo

Mchezo wetu wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa

Kikosi chetu leo saa tatu usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

Ni ndoto ya kila Mwanasimba kuiona timu yake ikitinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na leo saa tatu usiku safari yetu inaanza

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly