Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga Leo    

Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu ukilinganisha na kile kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Ihefu FC.

Benchikha amewaanzisha Ayoub Lakred, Israel Patrick na Babacar Sarr kuchukua nafasi za Ally Salim, Shomari Kapombe na Freddy Michael.

Hiki hapa kikosi kilichopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Mwenda (5), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Babacar Sarr (33), Said Ntibazonkiza (10), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Clatous Chama (17).

Ally Salim (1), David Kameta (5), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi (16), Mzamiru Yassin (19), Luis Miqussone (11), Ladack Chasambi (36), Freddy Michael (18), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER