Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Ihefu FC

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Liti mkoani Singida kuikabili Ihefu FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa FC.

Benchikha amewaanzisha Shomari Kapombe, Henock Inonga, Sadio Kanoute na Fred Michael kuchukua nafasi za Israel Patrick, Kennedy Juma, Babacar Sarr na Pa Omar Jobe.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Freddy Michael (18), Said Ntibazonkiza (10), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), David Kameta (3), Israel Mwenda (5), Hussein Kazi (16), Mzamiru Yassin (19), Abdallah Hamisi (13), Luis Miquissone (11), Willy Onana (7), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER