
Timu yawasili Singida
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Singida kutoka Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaofuata dhidi ya Ihefu FC. Meneja Habari

Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Singida kutoka Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaofuata dhidi ya Ihefu FC. Meneja Habari

Mchezo wetu wa hatua ya 16 bora ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Mashujaa FC uliopigwa Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma umemalizika

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa hatua ya 16 bora

Nyota wote 26 tuliosafiri nao kuja Kigoma kwa ajili ya mchezo wa kesho wa hatua ya 16 bora ya CRDB Bank Federation Cup dhidi

Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema tulipopoteza mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Ahly tuliongeza ugumu mechi ya marudiano na ndio maana tumetolewa. Benchikha

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema hatujilaumu kwa kutolewa na Al Ahly katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

Kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam kutoka Misri na kinatarajia kuwasili saa 10 Alfajiri. Baada ya kufika kikosi kitaingia kambini

Mchezo wetu wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly uliopigwa Uwanja wa Cairo International umemaliza kwa kupoteza

Kikosi chetu leo saa tano usiku kitashuka katika Uwanja wa Cairo International kuikabili Al Ahly kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi

Kikosi chetu leo saa tano usiku kitashuka katika Uwanja wa Cairo International kuikabili Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.