
Highlights: Simba SC 3-1 Mbeya City
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup baada ya kuifunga Mbeya City mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup baada ya kuifunga Mbeya City mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mbeya City katika mchezo wa robo fainali ya CRDB Federation Cup.
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema kuelekea mchezo wa kesho wa robo fainali ya CRDB Federation Cup dhidi ya Mbeya City tutapanga kikosi kamili na
Kocha Mkuu Fadlu Davids amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Machi baada ya kuwapiku Rachid Toussi wa Azam FC na
Mchezo wetu wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini utapigwa Aprili 20. Stellenbosch wamepata nafasi
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga Al Masry kwa mikwaju ya penati 4-1 katika mchezo uliopigwa
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Al Masry katika mchezo wa marudiano wa robo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Masry katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema katika kipindi cha wiki nzima tangu kikosi kirejee kutoka Misri amekuwa akiwasisitiza wachezaji kwenye kufunga mabao ili kuweza kufanikiwa