Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena asubuhi kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena asubuhi kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa kesho saa 10 jioni yamekamilika. Mgunda amesema pamoja na nafasi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi umemalizika kwa sare ya kufungana mabao
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi kuikabili Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kikosi
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi kuikabili Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda tayari amejiunga na kikosi na jioni hii ameiongoza timu kwenye mazoezi ya mwisho yaliyofanyika Uwanja wa Majaliwa kuelekea mchezo
Timu yetu ya Simba Queens imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Queens
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa kesho saa 12 jioni katika Uwanja wa Majaliwa,