Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahly

Kikosi chetu leo saa tano usiku kitashuka katika Uwanja wa Cairo International kuikabili Al Ahly kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha Abdelhak Benchikha hakufanya mabadiliko ya mchezaji hata mmoja ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es Salaam, Machi 29.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (36), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Babacar Sarr (33), Said Ntibazonkiza (10), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Abdallah Hamisi (13), Willy Onana (7), Luis Miqussone (11), Mzamiru Yassin (19), Freddy Michael (18), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER