
Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili FAD Djibouti
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa 9:45 mchana kuikabili FAD Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa 9:45 mchana kuikabili FAD Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda
Mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Tabora United uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa
Leo saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC.
Saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC kuikabili Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United
Mchezo wetu wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) dhidi ya FAD Djibouti uliokuwa upigwe kesho sasa
Mshambuliaji mpya Leonel Ateba amefanya mazoezi jioni pamoja na wenzake ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na kikosi chetu. Ateba amefanyiwa vipimo
Mshambuliaji Leonel Ateba amejiunga na kikosi chetu kutoka USM Alger ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili. Ateba ambaye ana umri wa miaka 25
Baada ya Mazoezi ya Gym asubuhi jioni kikosi chetu kimefanya mazoezi ya uwanjani katika dimba la Abebe Bikila. Uwanja wa Abebe Bikila ndio tutautumia