Baada ya Mazoezi ya Gym asubuhi jioni kikosi chetu kimefanya mazoezi ya uwanjani katika dimba la Abebe Bikila.
Uwanja wa Abebe Bikila ndio tutautumia kucheza mechi zetu za hatua ya makundi hivyo wachezaji wanaendelea kuuzoea pamoja na hali ya hewa ambayo ni baridi.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.