read

news & Articles

Tupo ugenini Marakkech Leo

Kikosi chetu leo saa nne usiku kitashuka katika Uwanja wa Marrakech kuikabili Wydad Casablanca katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Ligi ya

Queens yafanya mazoezi ya mwisho

Timu yetu ya Simba Queens imeifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga Princess

Timu yafanya mazoezi ya kwanza Morocco

Kikosi chetu leo kimefanya mazoezi ya kwanza katika Uwanja wa Marrakech kujiandaa na mchezo wa Jumamosi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca.

Timu yatua salama Marrakech

Kikosi chetu kimewasili salama katika mji wa Marrakech nchini Morocco tayari kwa mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca utakaopigwa

Tumechangia Wahanga wa mafuriko Hanang

Klabu yetu leo imekabidhi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko na maporomoko yalitokea katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara mwishoni mwa juma lililopita. Mwenyekiti

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC