read
news & Articles

Tupo tayari kwa Derby ya Kariakoo
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo dhidi ya Yanga

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi

Robertinho: Tunazitaka pointi tatu za Yanga Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa tutaingia kwenye mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi ya Yanga kwa

Wachezaji wamepata maandalizi mazuri kuelekea Derby ya Kariakoo Kesho
Mlinzi wa kulia ambaye ni mchezaji mwandamizi ndani ya kikosi chetu, Shomari Kapombe amesema wamepata maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya

Biriani la Derby laliwa Temeke
Kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tumefanya hamasa pamoja na kujipongeza kwa

Robertinho kocha bora NBCPL Oktoba
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Oktoba. Robertinho amewapiku Miguel Gamondi wa Yanga na Abdulhamid Moalin