read
news & Articles

Nyota 20 watakaosafiri kuifuata Jwaneng Botswana
Kikosi chetu kitaondoka kesho alfajiri kuelekea Botswana tayari kwa ajili ya mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja

Mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy kupigwa Fransictown
Mchezo wetu wa pili wa hatua ya makundi wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utachezwa katika Mji wa Fransictown baadala ya Mji

Alichosema Kocha Benchikha baada ya kutua nchini
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema amefurahi kuiongoza Simba na amejipanga kuivusha kuitoa hapa ilipo na kuipandisha juu. Benchikha ametua nchini usiku huu kutoka nchini Algeria

Queens yashusha straika kutoka Uganda
Timu yetu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa mshambuliaji Ainembabazi Joanitah raia wa Uganda kwa mkataba wa miaka miwili. Ainembabazi anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa

Ahmed: Wanasimba msiingie unyonge, Twendeni Kwa Mkapa Jumamosi
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amewaomba Wanasimba kutokata tamaa na kuingia unyonge baada ya kupata matokeo mabaya kwenye mechi zetu mbili za ligi zilizopita.

Tumepata ushindi dhidi ya Dar City
Kikosi chetu kimepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa kirafiki iliyofanyika Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju. Mchezo huo ni