Queens yafanya mazoezi ya mwisho

Timu yetu ya Simba Queens imeifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga Princess utakaopigwa kesho saa 12 katika Uwanja wa Azam Complex.

Queens ambayo ipo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda akisaidiwa na Mussa Mgosi ipo kwenye hali nzuri na kuhakikisha tunapata ushindi.

Lengo letu ni kuhakisha tunawachukua taji la Ngao ya Jamii ili liwe na kwanza baada ya msimu uliopita kushindwa kutetea ubingwa wa Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL).

Mshindi wa mchezo wetu atacheza fainali na mshindi kati ya mabingwa watetezi JKT Queens na Fountain Gate Princess.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER