
VIDEO: Wachezaji wametimiza majukumu yao asilimia 100
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema katika mchezo wa jana dhidi ya Al Ahli Tripoli wachezaji walitimiza majukumu yao kwa asilimia
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema katika mchezo wa jana dhidi ya Al Ahli Tripoli wachezaji walitimiza majukumu yao kwa asilimia
Mechi yetu ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli iliyopigwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli umemalizika kwa sare
Leo saa mbili usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli kuikabili Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli kucheza na Al Ahli Tripoli katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Kombe la
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli tayari kwa mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika
Ratiba ya Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii kwa timu za Wanawake imetoka na tumepangwa kucheza na Yanga Princess. Michezo ya Ngao ya Jamii
Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amekabidhi kiasi cha Shilingi milioni 10 kwa Simba Queens ambazo ni ahadi ya hamasa
Kikosi chetu kimewasili salama nchini Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Jumapili Septemba
Kikosi chetu kitaondoka Jumatano Alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba