Mo Cola yaja na Onja na Ushinde
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Mohamed Interprises Company Limited (Metl) kupitia kinywaji chake cha Mo Cola imekuja na kampeni ya ‘Onja na Ushinde’
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Mohamed Interprises Company Limited (Metl) kupitia kinywaji chake cha Mo Cola imekuja na kampeni ya ‘Onja na Ushinde’
Ushindi wa bao moja tuliopata jana dhidi ya Singida Black Stars ugenini ulikuwa mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya
Mchezo wetu wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa Uwanja wa Liti umemalizika kwa
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Liti mkoani Singida kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Liti mkoani Singida kwa ajili ya kuikabili Singida Black Stars kwenye mchezo wa Ligi
Simba Queens imeendeleza ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa
Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Karume mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL)
Kocha Mkuu Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars utakuwa mgumu lakini tumejiandaa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC
Bao la dakika ya mwisho lililofungwa kwa mkwaju wa penati na kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua limetuwezesha kutupa ushindi dhidi ya JKT Tanzania katika