read
news & Articles

Mchezo dhidi ya Singida Black kupigwa Disemba 28
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi na kuzipangia ratiba mechi mbalimbali ambazo zilikuwa hazijapangiwa kutokana na sababu tofauti. Mchezo

Kibu afanya maajabu jioni kwa Mkapa
Bao la kichwa la dakika ya mwisho lililofungwa na Kibu Denis limetuwezesha kupata pointi tatu muhimu nyumbani dhidi ya CS Sfaxien baada ya ushindi wa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya CS Sfaxien
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili CS Sfaxien kutoka Tunisia katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi

Tupo tayari kuikabili CS Sfaxien Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili CS Sfaxien kutoka Tunisia katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi

VIDEO: Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha tunashinda hasa ukizingatia

Droo ya Simba University Bonanza yakamilika Crown Media
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ameongoza zoezi la upangaji wa Droo la Simba University Bonanza ambalo litakutanisha wanachuo kutoka vyuo mbalimbali jijini