Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha tunashinda hasa ukizingatia tupo nyumbani.
Fadlu ameongeza kuwa KIkosi chetu kipo kwenye hali nzuri na wachezaji wapo tayari kuhakikisha tunawapa furaha mashabiki ambao tunaamini watakuja kwa wingi kutupa sapoti.
Tazama video hii hadi mwisho kiungo Augustine Okajepha amezungumzia pia kwa niaba ya wachezaji.