Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili CS Sfaxien kutoka Tunisia katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya CS Constantine.
Kocha Fadlu amewaanzisha Debora Fernandes na Awesu Awesu kuchukua nafasi za Karaboue Chamou na Augustine Okajepha ambao leo wapo benchi.
Hiki hapa kikosi kamili:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Abdulrazack Hamza (14), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Deborah Fernandez (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Awesu Awesu (23).
Wachezaji wa Akiba:
Aishi Manula (28), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Yusuph Kagoma (21), Mzamiru Yassin (19), Augustine Okajepha (25), Steven Mukwala (11), Ladaki Chasambi (36), Joshua Mutale (26).