read
news & Articles
Simba yatanguliza mguu mmoja ndani makundi Shirikisho Afrika
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata nyumbani dhidi ya Red Arrows leo umetufanya kuingiza mguu mmoja ndani katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika. Matokeo
Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Red Arrows
Mshambuliaji Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa keo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa
Simba ya kimataifa zaidi
Timu yetu inarejea katika michuano ya kimataifa ambayo mara nyingi tumekuwa tukipeperusha vema bendera ya nchi ambapao tumekuwa miongoni mwa miamba 10 bora Afrika msimu
Simba kutorudia makosa kwa Red Arrows
Nahodha wa timu John Bocco, amesema maandalizi kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows yamekamilika na wachezaji wamejipanga kuhakikisha hawarudii makosa.
Pablo ajiamini kuwamaliza Red Arrows
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema anaamini tutaibuka na ushindi katika mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows kutoka Zambia
Bwalya: Tumejipanga kutinga makundi Shirikisho Afrika
Kiungo mshambuliaji Rally Bwalya, amesema baada ya kukosa nafasi ya kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa sasa ni wakati wa kufanya hivyo kwenye