read
news & Articles
Hawa hapa nyota 26 waliopaa kuifuata Al Ahly
Kikosi cha wachezaji 26 kipo safarini kuelekea nchini Misri kupitia Dubai kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly
Simba yapaa Misri kuifuata Al Ahly
Kikosi kimeondoka nchini muda huu kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa mwisho hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Mechi hiyo
Onyango akabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora
Mlinzi wa kati, Joash Onyango amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mwezi Machi wa Mashabiki (Emirate Simba Fans Player of the Month) na hundi
Bwalya aeleza furaha ya kutupia bao lake la kwanza Mabingwa Afrika
Kiungo mshambuliaji Rally Bwalya ameeleza furaha yake ya kufunga bao lake la kwanza la Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa ndani ya kikosi chetu ambalo limechangia
Kauli ya Kocha Gomez baada ya kutinga Robo Fainali
Kocha Mkuu, Didier Gomez amefurahishwa na uwezo ulioonyeshwa na wachezaji wetu uliofanikisha ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya AS Vita na kutufanya kutinga Robo Fainali
Simba hiyooo Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
Ushindi wa mabao 4-1 tuliopata dhidi ya AS Vita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa leo, umetufanya kuingia kwa kishindo hatua ya Robo Fainali ya Ligi