read
news & Articles

Onyango kidedea tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki
Mlinzi wa kati Joash Onyango, amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month) baada ya kuwashinda mlinda

Barbara: Mashabiki tufuate masharti ya CAF mechi na AS Vita
Licha ya kuruhusiwa kuingiza mashabiki 10,000 kwenye mchezo wetu wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya AS Vita utakaopigwa Jumamosi, Mtendaji Mkuu wa Klabu, Barbara Gonzalez

Kikosi kuingia kambini leo, waliokuwa Stars warejea
Kikosi chetu kinaanza kambi rasmi leo jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita utakaopigwa Aprili 3, mwaka

Manula, Miquissone, Onyango, watinga fainali Mchezaji Bora wa Mwezi
Mlinda mlango Aishi Manula, kiungo mshambuliaji Luis Miquissone na mlinzi Joash Onyango wameingia fainali ya tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Machi inayodhaminiwa

Kikosi chazidi kujifua kuelekea mechi dhidi ya AS Vita
Kwa siku tatu mfululizo kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo ujao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya AS Vita utakaopigwa Uwanja wa

Kikosi chaanza mazoezi rasmi Mo Simba Arena
Baada ya mapumziko ya wiki moja kikosi kimerejea mazoezini jioni ya leo kwenye viwanja vyetu vya Mo Simba Arena kwa ajili ya kujiweka fiti kujiandaa