read
news & Articles
Banda afungua akaunti ya mabao tukiichapa Geita
Winga Peter Banda amefunga bao lake la kwanza la mashindano akiwa na kikosi chetu katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Geita Gold uliofanyika Uwanja wa
Ajibu, Banda, Gadiel kuanza dhidi ya Geita
Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu na winga Peter Banda wamepangwa kuanza katika kikosi kitakachoikabili Geita Gold leo katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja
Tupo kamili kwa Geita Gold
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Geita Gold kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaoanza saa moja usiku. Tutaingia katika
Matola: Hatutaichukulia poa Geita
Kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya Geita Gold, Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema hatutawadharau wapinzani hao badala yake tutaingia uwanjani kamili kutafuta alama tatu
Tunakutana na JKT Tanzania ASFC
Timu yetu imepangwa kucheza na JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tatu ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC). Katika droo ambayo imefanyika
Viingilio mechi dhidi ya Geita
Uongozi wa klabu umetaja viingilio vya mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold utakaopigwa kesho saa moja usiku katika Uwanja wa