read
news & Articles

Tunatupa karata yetu ya kwanza ya ASFC Leo
KIkosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Tembo FC katika mchezo wa hatua ya pili ya michuano ya Azam

Queens kuondoka kesho kuifuata Fountain Gate Dodoma
Kikosi cha wachezaji 24 wa Simba Queens kitaondoka kesho asubuhi kuelekea jijini Dodoma kuifuata Fountain Gate Princess kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya

Timu yaendelea Mazoezi Mo Arena
Kikosi kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Tembo FC utakaopigwa Jumatano

Inonga aisaidia DR Congo kutinga robo fainali AFCON
Mlinzi wetu wa kati Henock Inonga ameisaidia timu yake ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutinga robo fainali ya michuano ya AFCON baada ya kuifunga

Queens yaichakaza Alliance bila huruma
Kikosi cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Alliance Girls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa katika

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Alliance
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili Alliance Girls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake. Hiki hapa kikosi kilichopangwa