Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili Alliance Girls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Hiki hapa kikosi kilichopangwa na Kocha Mussa Hassan Mgosi.
Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (11), Ruth Ingosi (20), Daniella Ngoyi (22), Vivian Corazone (17), Ritticia Nabbosa (27), Aisha Juma (10), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafar (24), Elizabeth Wambui (4).
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Vioteth Nicholas (26), Mwanahamisi Omary (7), Danai Bhobo (40), Esther Mayala (23), Asha Rashid (14), Joanitah Ainembabazi (16), Koku Kipanga (19), Olaiya Barakat (9).