read
news & Articles

Tumepangwa na TRA 32 bora ASFC
Droo ya hatua ya 32 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) imekamilika na tumepangwa kucheza na timu ya TRA FC kutoka Kilimanjaro.

Alichosema Kocha Matola kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mashujaa
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema tunaamini mchezo wa kesho dhidi ya Mashujaa FC utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.

Queens yafanya mazoezi ya mwisho Jamhuri
Timu yetu ya Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Wanawake

Timu Kuondoka asubuhi kuelekea Kigoma
Kikosi chetu kitaondoka jijini Dar es Salaam saa tano asubuhi kuelekea mkoani Kigoma tayari kwa mchezo wa Jumamosi wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Tumetinga 32 bora ya ASFC
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya kuifunga Tembo FC kutoka Tabora mabao 4-0 katika

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tembo FC
Kikosi kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa moja usiku kuikabili Tembo FC kutoka Tabora katika mchezo wa raundi ya tatu Azam Sports Federation Cup