read
news & Articles
Kauli ya Kocha Matola kuelekea mchezo dhidi ya Prisons
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata matokeo chanya.
Timu yaingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Kikosi chetu kimeanza mazoezi pamoja na kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Jumatano katika Uwanja Jamhuri
Rais Samia atutumia Salam za Pongezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametupongeza kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada
Tunamshukuru Rais Samia kwa zawadi ya ‘Bao la Mama’
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah ‘Try Again’ amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa milioni 30
Tumetinga Robo fainali Mabingwa Afrika kibabe
Tumefanikiwa kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kibabe baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Jwaneng Galaxy katika mchezo uliopigwa
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Jwaneng Galaxy
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Jwaneng Galaxy katika mchezo wa marudiano wa hatua makundi ya Ligi ya