Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuikabili Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:
Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy juma (16), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Mzamiru Yaasin (19), Pa Omar Jobe (2), Sadio Kanoute (8),Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba:
Ayoub Lakred (36), David Kameta (3), Israel Patrick (5), Hussein Kazi (16), Abdallah Khamis (13), Babacar Sarr (33), Luis Miqussone (11), Said Ntibazonkiza (10), Fred Michael (18).