read
news & Articles
Tumetinga hatua ya 16 ASFC kwa kishindo
Kikosi chetu kimetinga hatua ya 16 bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya TRA
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya TRA leo
Saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili TRA kutoka Kilimanjaro katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Azam Sports
Ahmed: Tukilitaka jambo letu hakuna wa kutuzuia
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema tumejiandaa ndani na nje ya uwanja kuelekea mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya
Timu yafanya mazoezi kujiandaa na TRA Kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa hatua ya 32 bora ya Azam Sports Federation
Jumamosi ni Vita ya Kisasi dhidi ya Jwaneng Galaxy
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ametangaza kuwa kauli mbiu ya mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa
Timu yatua salama Dar es Salaam
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka nchini Ivory Coast baada ya mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa