read
news & Articles

Tupo CCM Kirumba kuikabili Azam Leo
Leo saa 10 jioni tunashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika mchezo huu tukiwa

VIDEO: Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Azam Kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa

Queens yaichakaza Geita Nyankumbu
Kikosi cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa Uwanja wa

Ahmed: Tumeleta mechi Mwanza kwa kutambua umuhimu wenu
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema lengo la kuileta mechi yetu ya Ligi Kuu dhidi ya Azam FC ni kuwathamini mashabiki wetu

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Geita Queens
Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Nyankumbu mkoani Geita kuikabili Geita Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake. Hiki hapa

Matola: Tupo tayari kwa Azam FC Kesho
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa