VIDEO: Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Geita kesho

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi yalivyokuwa.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER