Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.
Tazama jinsi matukio mbalimbali yaliyotokea pamoja na jinsi bao letu ambalo limefungwa na Babacar Sarr lilivyokuwa.