Kagere, Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Biashara leo
Kocha Didier Gomes leo ameamua kuanza na washambuliaji wawili Medie Kagere na John Bocco katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara
Kocha Didier Gomes leo ameamua kuanza na washambuliaji wawili Medie Kagere na John Bocco katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara
Klabu yetu imeingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Emirate Aluminium ACP wenye thamani ya Sh milioni 300 kwa ajili ya kutoa motisha
Nyota wetu wote 32 tuliowasajili kwa ajili ya msimu mpya wa ligi 2021/22 leo mchana wamefanyiwa vipimo vya moyo katika Taasisi ya Moyo ya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeitaja Simba kuwa miongoni mwa timu 10 ambazo hazitaanza hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Nahodha John Bocco na Chris Mugalu wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wa Fainali ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Yanga utakaopigwa saa 10
Mshambuliaji wetu Chris Mugalu amefanya mazoezi pamoja na wenzake leo jioni baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamsumbua. Mugalu alikosa baadhi ya mechi zilizopita za
Kikosi chetu leo kinaingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga. Mechi hiyo
Mlinda mlango namba moja, Aishi Manula na kiungo Taddeo Lwanga wamerejea kikosini na wanaanza kwenye mchezo wetu wa leo wa Nusu Fainali ya Azam
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema kikosi kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC utakaopigwa katika Uwanja
Kocha Didier Gomes amefanya mabadiliko kidogo ya kikosi kuelekea mchezo wa leo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs ambapo