Simba yatinga robo fainali ASFC

Kikosi chetu kimeingia robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya kuifunga Kagera Sugar mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Kagera walikuwa wa kwanza kupata…