
Pablo: Hatukucheza vizuri
Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri kuwa hatukucheza vizuri katika mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na kusababisha kupoteza
Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri kuwa hatukucheza vizuri katika mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na kusababisha kupoteza
Tumefanikiwa kupata pointi tatu muhimu katika uwanja wa nyumbani baada ya kuifunga RS Berkane kutoka Morocco bao moja katika mchezo wa Kombe la Shirikisho
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Biashara United utakaopigiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa
Mshambuliaji kinara wa Simba Queens, Opa Clement jana alikabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi Januari wa Serengeti Lite Women’s Premier League. Opa
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ruvu Shooting kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya Michuano ya Azam Sports
Pamoja na ubora na uzoefu wa wapinzani wetu ASEC Mimosas kwenye michuano ya Afrika Nahodha John Bocco amesema hatutaingia uwanjani kesho kwa presha wala
Kiungo mshambuliaji Pape Sakho, amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Januari (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Sakho
Nyota watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Januari (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Kiungo
Ushindi mnono wa mabao 6-0 tuliopata dhidi ya Dar City umetuwezesha kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC)
Timu yetu ya Simba Queens imeendeleza wimbi la ushindi katika ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuichakaza bila huruma The