
Fabrice Ngoma Mchezaji bora Kombe la Mapinduzi
Kiungo mkabaji Fabrice Ngoma amechaguliwa mchezaji bora wa michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2024. Ngoma ameonyesha kiwango bora katika mechi zote sita za
Kiungo mkabaji Fabrice Ngoma amechaguliwa mchezaji bora wa michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2024. Ngoma ameonyesha kiwango bora katika mechi zote sita za
Mchezo wetu wa pili wa Kombe la Mapinduzi uliopigwa Uwanja wa New Amaan Complex umemalizika kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi
Jana tumefahamu tutacheza na mabingwa wa Zambia Power Dynamos katika hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/24. Mechi ya kwanza
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefurahi ubora wa kikosi tulichonacho kuelekea msimu mpya wa mashindano 2023/24 huku akiweka wazi malengo yetu ni kuchukua mataji
Timu yetu ya Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Amani Queens katika mchezo wa Ligi ya Wanawake ya
Kikosi chetu kimewasili salama nchini Morocco tayari kwa mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca utakaopigwa
Mamia ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi mjini Chalinze kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wetu wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa
Kikosi chetu leo saa nne usiku kwa saa za Morocco kitashuka katika Uwanja wa Mohamed wa tano kuikabili Raja Casablanca katika mchezo wa mwisho
Kikosi chetu kesho saa 10 alfajiri kitasafiri kuelekea nchini Guinea tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Kikosi chetu kimeanza Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kupoteza baada ya kufungwa bao moja dhidi ya Mlandege katika mchezo uliopigwa Uwanja wa