Timu yetu ya Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Amani Queens katika mchezo wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League.
Hiki hapa kikosi
Caroline Rufa (28), Wema Richard (3), Fatuma Issa (5), Esther Erastus (23), Diana Mnaly (15), Ruth Ingosi (20), Danai Bhobho (40), Vivian Corazone (4), Asha Djafar (24), Asha Mlangwa (33), Jentrix Shikangwa (25).
Wachezaji wa Akiba
Janeth Shija (30), Dotto Evarist (11), Violeth Nicholas (26), Pambani Fallone (17), Mwanahamisi Omary (7), Zainabu Mohamed (8), Topister Situma (13), Olaiya Barakat (9), Jackline Albert (16)