Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka mkoani Kagera baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar.
Video hii inaonyesha tangu tulivyoanza safari katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba hadi kufika Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.