Tumepoteza mchezo wa Ngao ya Jamii
Mchezo wetu wa Ngao ya Jamii umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja dhidi ya watani wetu Yanga mtanange uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo
Mchezo wetu wa Ngao ya Jamii umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja dhidi ya watani wetu Yanga mtanange uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Nusu Fainali Ngao ya
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Nusu Fainali Ngao ya
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema pamoja nakuwa tumepata wiki tatu za maandalizi kuelekea msimu ujao wa ligi lakini tunahitaji kupata ushindi katika mchezo wa
Hivi hapa Viingilio vya Mchezo wa Ngao ya Jamii Alhamisi saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema licha ya ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya APR kwenye kilele cha Simba Day lakini bado miili ya
Mchezo wetu wa kirafiki wa kilele cha Simba Day dhidi ya APR uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao
Leo katika kilele cha Simba Day tumetambulisha kikosi chetu tukakachokitumia katika michuano mbalimbali katika msimu wa mashindano 2024/25. Hiki hapa kikosi chetu Makipa 1.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Wanasimba wote kwa kufanikisha Tamasha bora la Simba
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa kirafiki wa ufunguzi wa