Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Nusu Fainali Ngao ya Jamii.
Huu ni mchezo muhimu ambao kwetu tumeuchukulia kama kipimo sahihi kuelekea msimu mpya wa Ligi.
Hiki hapa Kikosi Kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Karaboue Chamou (2), Mzamiru Yassin (20), Edwin Balua (37), Debora Fernandes (17), Steven Mukwala (11), Jean Ahoua (10), Joshua Mutale (17).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Kelvin Kijili (24), Valentine Nouma (29), Abdulrazack Hamza (14), Fabrice Ngoma (6), Augustine Okajepha (25), Omary Omary (8), Freddy Michael (18), Ladaki Chasambi (36), Kibu Denis (38).