
Willy Onana amejiunga na Al Hilal Benghazi
Klabu yetu imemuuza kiungo mshambuliaji wake Andre Willy Esomba Onana kwenda klabu ya Al Hilal Benghazi ya Libya. Onana alijunga nasi msimu uliopita kwa
Klabu yetu imemuuza kiungo mshambuliaji wake Andre Willy Esomba Onana kwenda klabu ya Al Hilal Benghazi ya Libya. Onana alijunga nasi msimu uliopita kwa
Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia umeipokea timu yetu ya Simba Queens ambayo imewasili kwa ajili ya kushiriki michuano ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki
Kikosi chetu cha Simba Queens kimeondoka nchini kuelekea Ethiopia kwa ajili ya kushiriki michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Simba Queens imeondoka na
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Juma Mgunda amesema maandalizi ya timu kuelekea michuano ya CECAFA yamekamilika na kikosi kipo tayari kwa ajili ya mashindano.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema lengo la letu ni kushinda taji la michuano ya CECAFA ambayo itaanza kutimua vumbi mwishoni
Mchezo wetu wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii dhidi ya Coastal Union uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupata ushindi
Kikosi chetu leo saa tisa alasiri kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii utatuweka kwenye nafasi nzuri kuelekea mechi ya
Mchezo wetu wa Ngao ya Jamii umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja dhidi ya watani wetu Yanga mtanange uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo