Kikosi chetu leo saa tisa alasiri kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii.
Kocha Fadlu amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichoanza kwenye mchezo uliopita wa nusu fainali.
Kocha Fadlu amewaanzisha Kelvin Kijili, Abdulrazack Hamza, Augustine Okajepha na Saleh Karabaka na kuwapumzisha Shomari Kapombe, Karaboue Chamou, Mzamiru Yassin na Edwin Balua.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:
Moussa Camara (26), Kelvin Kijili (33), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Augustine Okajepha (25), Saleh Karabaka (16), Deborah Fernandes (17), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Valentine Nouma (29), Hussein Kazi (4), Fabrice Ngoma (6), Mzamiru Yassin (19), Yusuph Kagoma (21), Valentino Mashaka (27), Edwin Balua (37), Kibu Denis (38).