
Tutakutana na Al Ahly Tripoli Kombe la Shirikisho Afrika
Kati ya Septemba 13 hadi 15 tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya kwanza dhidi ya Al Ahly Tripoli
Kati ya Septemba 13 hadi 15 tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya kwanza dhidi ya Al Ahly Tripoli
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC yamekamilika na wachezaji wapo
Mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) dhidi ya Buyenzi kutoka Burundi
Leo saa sita na nusu mchana kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila kuikabili PVP Buyenzi kutoka Burundi katika mchezo wa mwisho wa
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC
Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa TEFSA MEDA kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata dhidi ya Kawempe Muslim kutoka Uganda umetuwezesha kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda wa Afrika Mashariki
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa tano asubuhi kuikabili Kawempe Muslim kutoka Uganda katika mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi katika Uwanja wa TESFA MEDA baada ya ushindi mabao 5-0 tulipata jana
Mshambuliaji Asha Rashid ‘Mwalala’ amefunga mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi mnono wa 5-0 tuliopata dhidi ya FAD Djibouti katika mchezo wa kwanza wa