Queens yafanya mazoezi ya mwisho kuivutia kasi Buyenzi

Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa TEFSA MEDA kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).

Kesho saa tano asubuhi Queens itashuka katika Uwanja wa Addis Ababa kuikabili RVP Buyenzi kutoka Burundi.

Morali za wachezaji zipo juu na kila mmoja amefanya jitihada za mazoezini kuhakikisha analishawishi benchi la ufundi kumpa nafasi katika mchezo wa kesho.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER