
Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa
Kikosi chetu kitaondoka Jumatano Alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba
Uongozi wa klabu ya Simba unautaarifu Umma kuwa Kocha Juma Ramadhani Mgunda hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi la Simba Queens baada ya mkataba
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimazoezi uliopigwa katika Uwanja wa KMC Complex.
Mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ambao ulikuwa haukupangiwa tarehe sasa utapigwa Septemba 26. Baada ya ratiba hiyo sasa ni
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi wa Agosti. Fadlu amewapiku, Patrick Aussems wa Singida Black Stars
Mchezo wetu wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja.
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Al Hilal kutoka Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Kocha
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan ambao utapigwa kesho saa 10
Mchezo wetu wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Kawempe