Timu kuondoka Jumatano kuelekea Libya

Kikosi chetu kitaondoka Jumatano Alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba 15.

Kikosi kitaondoka na msafara wa watu 50 ambao wataondoka makundi mawili kwa ajili ya mtanange huo.

Baada ya kufika timu itapata siku mbili ya kufanya mazoezi ili kuzoea mazingira na hali ya hewa ili tusipate changamoto siku ya mchezo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER