Simba, Al Hilal hakuna mbabe
Mchezo wetu wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja.
Mchezo wetu wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja.
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Al Hilal kutoka Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Kocha
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan ambao utapigwa kesho saa 10
Mchezo wetu wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Kawempe
Leo saa tano asubuhi kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila kuikabili Kawempe Muslim kutoka Uganda katika mchezo wa kutafuta
Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Abebe Bikila kwa ajili ya mchezo wa kesho wa kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema kikosi chetu kesho kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal kutoka
Kikosi chetu kimeshindwa kutinga fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kupoteza kwa mabao 3-2
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa tano asubuhi kuikabili Police Bullets kutoka Kenya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.